Mini Kabibi Habibi

Current Path : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/
Upload File :
Current File : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/CHGSSID.htm

��Jaribu uthibitsho na shughuli zifuatazo.

Badilisha mafikio ya muunganisho kwa kuwa kichapishi na kompyuta vinahitaji kuunganishwa kwenye mtandao sawa (SSID).

Kidokezo cha uteuzi wa mafikio:
Iwapo ishara ya redio ya mtandao uliounganishwa ni dhaifu, huenda kompyuta ikaunganishwa kiotomatiki kwenye mtandao thabiti. Katika hali hiyo, huenda kompyuta isipate kichapishi tena. Inapendekezwa kuwa uunganishe kompyuta na kichapishi chako kwenye mtandao wa ishara thabiti ya redio.

Tumia SSID ya kichapishi (Rahisi)
Mazingira ya mtandao yatabadilika kwa sababu ya mabadiliko ya mtandao ambao kompyuta imeunganishwa. Baada ya kuthibitisha ujumbe, zana ya Kikaguzi cha Muunganisho wa Kichapishi cha Epson itabadili muunganisho kiotomatiki.

Tumia SSID ya kompyuta
Unahitaji kusanidi upya kichapishi.
Hata hivyo, iwapo kompyuta imeunganishwa kwenye mtandao wa bendi 5 GHz, badilisha ili kuwianisha mtandao wa kompyuta kwa kichapishi.